HabariNews

Wakenya wahahakikishiwa usalama wao msimu huu wa sherehe za krimasi

Inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutyambai amewahikikishia wananchi usalama wao msimu huu wa sherehe za krismasi
Akitoa hakikisho hilo, Mutyambai amesema kuwa maafisa 3000 wa idara ya magereza watatumika kushika doria maeneo mbalimbali nchini huku maafisa wa idara ya polisi waliokuwa likizoni wakiagizwa kurejea kazini.