BurudaniEntertainment

NEW MUSIC ALERT, BLACK RAY-HASHIKIKI…………

Tasnia inazidi kukua kwa kasi sana inchini Kenya na Kila Uchao wadau wa mziki wanaumiza bongo kuboresha mziki wa Kenya, kutoka Mtwapa Kaunti ya Kilifi, Kali Music Records chini ya uongozi wa C.E.O Jonathan Chapuis almaarufu Layonn sasa ni Rasmi wameingia kwenye soko la Mziki baada kumtambulisha Msanii Black Ray na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina Hashikiki.
Itizame Hapa………

By Yussuf Tsuma