HabariSiasa

Naibu wa raisi William Ruto anahudhuria kongamano la wanawake.

Naibu wa raisi William Ruto anahudhuria kongamano la wanawake hususan viongozi katika muungano wa kenya kwanza kama mgeni wa heshima katika uwanja wa nyayo jijini Nairobi.
Kongamano hilo ambalo lilizinduliwa rasmi jumatatu wiki hii linalenga kufanikisha mkataba wa maelewano baina ya wanawake katika muungano huo na kusaini mkataba ili wanawake wapate nyadhfa nyingoi saw ana wanaume endapo naibu wa raisi ataibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Kongamano hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa muungano huo ikiwemo mbunge wa Malindi na mpeperushaji wa bendera ya ugavana kaunti ya Kilifi kupitia kwa chama cha UDA.

>> News Desk…