BurudaniEntertainment

Wasanii wenye ufuasi mkubwa katika mtandao wa Instagram

Waimbaji na marapa mashuhuri zaidi kwenye mtandao wa Instagram katika nchi za Bara la Afrika mwaka wa 2024;

Wasanii wenye ufuasi mkubwa katika mtandao wa Instagram

Uganda wanawakilishwa na mwimbaji wa kike Spice Diana ambaye ana wafuasi milioni 1.8, rapa Octopizzo kutoka hapa nchini Kenya ana wafuasi milioni 4.6, mwimbaji wa mziki wa rhumba Fally Ipupa kutoka Congo ana wafuasi milioni 5.3, Rapa Sarkodie kutoka Ghana ana wafuasi milioni 5.6, Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini ana wafuasi milioni 6.3, Diamond Plantnumz kutoka Tanazania ana wafuasi milioni 17.5, Davido kutoka nchini Nigeria anaongoza kwenye orodha hii akiwa na wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao wa instagram ambao ni milioni 29.3

BY EDWIN KIPROTICH