Mwanasarakasi na mwanamziki kutoka Mombasa anayeishi Nchini Uingereza Juma Athman Seif Almaarufu Jay Kitole amefunguka na kusema kuwa wasanii wa Mombasa Wana madharau huku akipigia Mfano Masauti aliwahi kupangiwa show alizokuwa akafanye baada ya Corona ila Masauti akakosa kutoa ushirikiano hali ilipekea waandalizi wa show hiyo kumtupilia mbali.
”Mziki wa Mombasa ni Mzuri lakini wasanii wanamadharau” alisema Jay.
Msikize Hapa