Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • PARADISE TABASAMU: NISHAWASIKILIISHA |DAYOO, KUSAH NA JAY MELODY |WANANIOGOPA| S... August 2, 2022
  • PETY NILA : WAKENYA WA UGHAIBUNI HAWASUPPORT WENZAO KABISA| SIMJUI HAPPY C August 2, 2022
  • WAZAZI WANAOFELI KURIPOTI VISA VYA WATOTO WAO KUWA WAJAWAZITO WAONYWA KILIFI. July 27, 2022
  • Huduma za kampuni ya Modern Coast Express Limited zimesimamishwa July 25, 2022
  • Kuna njama ya serikali kutumia mfumo usio wa electronic ili kunufaisha mrengo wa... July 25, 2022

Category: Mazingira

  • Home
  • Mazingira
June 29, 20220

Eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wanapendekeza kuzuia wanyama pori.

Wakaazi eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi sasa wanapendekeza kuwekwa kwa uwa ili kuzuia wanyama pori kutangamana na wakaazi eneo hilo. Wakiongozwa

Read More
June 27, 20220

Wadau katika sekta ya mazingira sasa wanaitaka serikali kuweka mikakati thabiti.

Wadau katika sekta ya mazingira sasa wanaitaka serikali ya pamoja na zile za mataifa jirani kuweka mikakati thabiti ili kuhakikisha mipira ya plastiki

Read More
June 15, 20220

Mashirika ya kijamii ukanda wa Pwani yazidi kuendesha kampeni ya kupanda mikoko .

Mashirika ya kijamii ukanda wa pwani yanaendesha kampeni ya kupanda mikoko 325, 000 ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa na kuinua

Read More
June 14, 20220

Wanaharakati wa mazingira wazindua kampeni ya kupanda miche milioni moja.

Wanaharakati wa mazingira kaunti za Lamu, Nairobi na Nakuru wamezindua kampeni ya kupanda miche milioni moja katika kaunti ya Lamu. Kampeni hiyo imepe

Read More
June 8, 20220

KENYA YAUNGANA NA ULIMWENGU KUADHIMISHA SIKU YA BAHARI

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya bahari duniani, shirika la uhifadhi wanyama Pori na viumbe majini KWS katika eneo la Kisite Mpunguti huko Lungalun

Read More
June 7, 20220

NEMA YATAKA WAEKEZAJI BINAFSI WA TIMBO ZA MAWE NA MCHANGA KUREKEBISHA SEHEMU YALIYOFANYIWA UCHIMBAJI BAADA YA KUMALIZA KAZI.

Halmashauri ya mazingira nchini NEMA imewataka waekezaji binafsi wa timbo za mawe na mchanga kuhakikisha sehemu zinafanyiwa uchimbaji zinarekebishwa b

Read More
May 31, 20220

Tume ya uiano na utengamano Ncic imetaja kaunti ya Mombasa miongoni mwa kaunti ambazo huenda zikashuhudia vurugu.

tume ya uiano na utengamano Ncic imetaja kaunti ya Mombasa miongoni mwa kaunti ambazo huenda zikashuhudia vurugu na machafuko wakati wa uchaguzi mku

Read More
May 19, 20220

Wadau wa Mazingira Mombasa waanzisha kampeni kuhamasisha wanafunzi katika shule za umma na zile za kibinafsi kuhusu maswala ya kutunza mazingira.

Wadau katika sekta ya Mazingira kaunti ya Mombasa wameanzisha kampeni ya kuhamasisha wanafunzi katika shule za umma na zile za kibinafsi kuhusu maswal

Read More
May 18, 20220

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa wanaendelea kuhanganika kutokana na huduma duni ambazo zimekuwa zikitolewa katika kaunti hiyo.

Mgombea huru wa wadhifa wa useneta Mombasa Mohammed Amir amesema wakaazi wa kaunti ya Mombasa wanaendelea kuhanganika kutokana na huduma duni ambazo

Read More
March 31, 20220

Afueni kwa wahudumu wa uchukuzi wa hapa Mombasa.

Huenda ikawa ni afueni kwa wahudumu wa uchukuzi wa hapa Mombasa na hata ukanda wa Pwani baada ya mkurugenzi wa mamlaka ya kitaifa ya barabara KENHA ka

Read More

Posts navigation

1 2 … 6 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite