Makala

Uhaba wa maji Kwale

Gavana wa kwale Salim Mvurya amesema tatizo la uhaba wa maji unaoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya Kwale linatokana na linatokana na hitilafu za kimitambo ya kusambaza maji katika kidimbwi cha maji ya Marere. 

Mvurya amedokeza kuwa ameidhinisha kukarabatiwa baadhi ya mabomba ya maji yatakayo sambaza maji kwa urahisi.

Mvurya amesema wamepokea ufadhili wa milioni 426 kutoka benki ya dunia kupitia wizara ya maji ambazo zitatumika kueka mradi mpya utakao wezesha kusambaza maji kutoka marere na baadhi ya maeneo kaunti ya kwale

Hata hivyo, gavana huyo amesema kwamba wamebaini chemi chemi za maji eneo la bububu katika eneo la vuga ambayo yananguvu ya kusambazwa hata katika wadi ya Tsimba/golini na sehemu zengine.

Itakumbukwa Mjini wa kwale umekuwa ukikumbwa na tatizo la maji jambo linalo lemaza shughuli nyingi.

Comments (3)

  1. Türkiye’de arama motoru google kullanılır.

  2. Denizli’de ateşli bir escort kızla vakit geçirmek ve çok anlar yaşamak için denizli.info sitemiz sayesinde unutulmaz bir zevk almak ister misiniz?

Comment here