Siasa

KUFIKIA SASA MABUNGE 15 YAPITISHA MSWADA WA BBI

Mabunge ya kaunti ya Narok, Makueni na Kakamega ni ya hivi punde kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba wa BBI na kufikisha idadi ya kaunti ambazo zimepitisha mswada huo kuwa 15.

Haya yanajiri huku takriban mabunge mengine tisa yakiendelea kujadili ripoti hiyo kwa sasa.

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliff Oparanya amepongeza hatua hiyo.

Ikumbukwe ni mabunge 24 yanohitajika kuupitisha mswada huo