HabariMombasa

Mbunge wa kisauni Ali Mbogo anawasihi wakaazi…

Mbogo ambaye  ana azma ya kuwania ugavana kaunti ya Mombasa katika uchaguzi mkuu ujao, anasema matatizo  mengi ya wakaazi yanafaa kuangaziwa na serikali ya kaunti mbali na serikali kuu.

Mbunge huyo vile vile ametoa mfano wa swala la ardhi ambalo ni tatizo kuu hapa pwani, akisema serikali ya kaunti inauwezo wa kutatua swala hilo kupitia serikali kuu.

Mwisho

 

na Joseph Jira