BurudaniMombasaVideos

Watangazaji ndo walitutoa kwenye game

Msanii mkongwe Yos Pee wa kikundi cha Jacugaz kilicho tamba mwaka elfu na saba elfu mbili na nane na ngoma ya BABA MSALITI Amefunga na kusema sababu ya kimya cha kundi hilo ni kuwa tasnia ya mziki ilikuja ikaingiliwa watangazaji wapya ambao walikuja na mbinu tofauti ambazo zilikosa kuingiliana ipasavyo. Hata hivyo amesistiza kuwa JACUGAZ Wapo na wamejipanga kurudi kuteka anga za Pwani.

Msikilize hapa