AfyaFoodHabari

Huduma za maji katika kaunti ya Taita Taveta zitaendelea kusambaratika

Huduma za maji katika kaunti ya Taita Taveta zitaendelea kusambaratika kwa muda usiojulikana hadi pale serikali ya kaunti hiyo itakapoafikiana na muungano wa wauguzi .

Hii ni baada ya mamlaka ya viwanda na uajiri jijini Mombasa kuamuru serikali ya  kaunti ya Taita Taveta kuandaa kikao maalum na viongozi wa muungano wa wauguzi ili kutafta suluhu  dhidi ya mtafaruko unaozingira sekta ya afya.

Hata hivyo katibu wao Reuben Matolo amekana usemi wa gavana wa Taita Taveta  Granton Samboja kua serikali yake imeshughulikia malalamishi yote.