BurudaniEntertainmentHabariMombasa

Watu Wazimu Wazinduka tena!!

Walitesa sana anga za muziki Pwani mwaka elfu mbili na sita elfu na Saba ila ghafla wakapotea kwenye maskio ya mashabiki waliowakonga nyoyo zao kupitia mziki wao mzuri. Kupitia kipindi cha Sheshe La Pwani Captain Lui na Ythekid wapata fursa ya kupiga stori nao.

 

Waskize hapa