BurudaniEntertainmentHabariMombasa

MJUE MSANII WAKO, RHYMES SALIM

Salim Ali Mtiwi Msanii  pia mfanyi biashara anaye kwenda kwa majina ya Rhymes Salim alizaliwa may 1993 akasomea shule ya upili ya Waa  na kuanza kuimba mnamo mwaka wa 2016.  Akijitambulisha Kwa mara ya Kwanza na wimbo uliojulikana Kwa jina ya nakukunda  aliomshirikisha CLD.

Kutokana na changamoto mbali mbali za kimaisha, ilibidi anyamaze kidogo kimziki ili kueka mambo sawa lakini kwa sasa amerudi rasmi kwenye game.

Msikilize hapa.