BurudaniEntertainmentMombasa

New Music Alert!! NASHA TRAVIS AKUPAKULIA HII HAPA.

Msanii chipukizi wa kike anaye kua kwa kasi sana kutoka Kilifi Nasha Travis Ametambulisha ujio wake mpya kwa mara nyingine tena.  Hii ni baada ya kuachia ngoma kwa jina Mazoea na sasa hivi ameamua kuleta kumbukumbu za mapenzi ”MEMORIES” Ngoma mpya inayotamba kwa sasa.

Msikilize hapa.