BurudaniEntertainment

MWAKILISHI WADI AINGIA STUDIO NA WASANII KUREKODI MZIKI………..

Mwakilishin wadi wa Waa Ng’ombeni Mheshimiwa Mwinyi Mwasera amebadili mkondo wa  Uongozi na na kuikumbatia sanaa, Hii ni baada ya kujiunga na vijana Wanamuziki na Kuingia studio Kurekodi Wimbo ‘Usikate Tamaa’ ni wimbo unaowahimiza vijana kutokata tamaa licha ya changamoto za maisha wanazopitia. Mwasera ni mmoja ya Viongozi kutoka Pwani wanaowapa vijana kipaumbele katika maendeleo.

Siku zote usikate tamaa.

Iskize hapa

By : Yussuf Tsuma