BurudaniHabari

NEW MUSIC ALERT!! CHIKUZEE SHAMRASHAMRA ZA RAMADHAN………….

Ikiwa ni mwisho wa kumi la pili na mwanzo wa kumi la tatu la Mwezi Mtukufu wa  Ramadhan, Msanii wa Kizazi kipya kutoka hapa Mombasa Abdallah Suleiman Chikuku almaarufu Chikuzee ameamua kulikaribisha kumi la tatu la Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa kuachilia video ya wimbo mpya ShamraShamra za Ramadhan, Ni kawaida ya ya msanii huyo kila Mwezi wa Ramadhan kuachilia kibao mahsusi kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan japo Ramadhani hii alichelewa kidogo.

Sikiliza na uitizame video mpya kutoka kwa Chikuzeee

Shamrashamra za Ramadhan 

Na Yussuf Tsuma