BurudaniEntertainmentHabari

NEW MUSIC ALERT!! RAY 002-SAWA

Joshua Mkala almaarufu Ray 002 Ni mmoja ya wasanii chipukizi Kutoka Kaunti ya Kwale  wenye uwezo mkubwa sana kimziki ila kwa sababu ya kutokuwa na uwezo ikamlazimu kueka pembembeni mziki, Mda haukupita sana Mungu amfungulia mlango na kuchukuliwa na Uongozi wa Maliza Umaskini, uongozi ambao una makao yake Nairobi Kenya. Maliza Umaskini ni Record Lebel ambayo lengo lake haswa ni Kuwainua vijana na wanawake kiuchumi kupitia talanta zao. Mbali Ray 002 kuna Msanii Wa Gengetone DANTEZ ambaye anafanya vizuri sana kwa sasa chini ya Uongozi wa Maliza Umaskini

Sikiliza na Utizame video mpya ya Ray 002

 

Na Yussuf Tsuma