AfyaBurudaniEntertainmentHabari

NEW MUSIC ALERT!! LAVIDOH-KIDAWA

Msanii Lavidoh ameamua ni kazi kwenda mbelee!! Baada ya kuachilia watanyooka, Lavido ameamua kuachlia kazi nyengine kwa jina kidawa, kazi ambayo imetengenezwa na Producer Emmy Dee kutoka Dallaz Records

Tizama na usikize kidawa kutoka kwa Lavidoh

By Yussuf Tsuma