BurudaniEntertainmentMombasa

HAPPY C AMRUSHIA DONGO DOGO RICHIE………..

Baada ya Msanii Dogo Richie kuonekana mitaani akifanya kazi ya Boda Boda, Watu walitafsiri mengi kumhusu licha ya yeye kufunguka kwamba kazi ya Boda boda anaifanya kupitisha mda tu na isitoshe kutokana na athari za Janga La Korona wasanii siku wamekua hawapati show.

Mmoja ya wasanii waliotoa maoni yao ni Msanii kutoka 001Music Happy c anayetamba na wimbo chekucheku.

Katika post yake Happy alipost kanda ya video ya msanii mchekeshaji Pierre kutoka Tanzanaia akila bata na kueka caption ”Kabla BinLaden Kuwa Boda Boda”