Habari

Zaidi ya watu 345 waaga dunia baada ya kunaswa na nguvu za umeme….

Zaidi ya watu 345 wameaga dunia kutokana na kunaswa na nguvu za umeme kote nchini katika kipindi cha miaka 3.

Kulingana na meneja mkurugenzi wa usalama afya na mazingira kutoka kampuni ya Kenya power John Guda,  asilimia 74 ya vifo imesababishwa na uharibifu kwa wakenya miongoni mwa ujenzi kwa nyaya za stima huku asilimia 26 zimesababishwa na kazi mbovu za wafanyikazi wa kampuni hiyo.

Amesema hayo katika hafla ya kuhamasisha jamii kuhusu utumizi wa nguvu za umeme na jinsi maafisa wa serikali wanapaswa kushirikian na jamii.

By Reporter David Otieno