HabariMazingira

Serikali Zahimizwa kuekeza katika uhifadhi wa mazingira…………

Serikali kuu na zile za kaunti hasa zilizoko Bahari Hindi zimehimizwa kuekeza zaidi katika kuhifadhi mazingira ili kudhibiti mmomonyoko wa udongo.

Wakili na mchanganuzi wa maswala ya kisiasa George Kithi amesema hatua hiyo itachangia kizazi kijacho kunafaika pakubwa kimaendeleo.

Kithi amesema hayo baada ya kushiriki zoezi la kusafisha ufuo wa bahari hin di eneo la Mtwapa hii leo.