BurudaniEntertainmentHabari

Muache Uvivu!! Nyota Ndogo Awapa Makavu akina Mama Wanao muomba Msaada………………………….

Msanii wa kike mkongwe kutoka hapa Pwani Mwanaisha Abdallah almaarufu Nyota Ndogo kupitia ukurasa wake wa facebook amefunguka na kuwaambia ukweli akina mama ambao wameshinda wakimsumbua kumuomba msaada wa chakula wakati hawana ulemavu wowote na wana uwezo wa kufanya kazi na kulisha familia zao

.