Uncategorized

Yamey Gang: Tunabezwa Mitaani kwa sababu ya Hali yetu ya Uchochole………………….

Yamey Gang almaarufu Vimoda ni kundi la  kimziki linalohusisha vijana wenye umri mdogo kutoka Chidutani Chonyi Kaunti Ya Kilifi, Kundi wametambulika kwa Kufanya mziki wa Gengetone wanaouchanganya na mahadhi ya kimijikenda. Baadhi ya ngoma walizofanya ni Tetemesha, majani na Mijikenda vibe waliomshirikisha Producer Tokal wa Kilo Sounds Record. Kupitia interview ya Kipindi cha Sheshe La Pwani Vijana hao walifunguka na kusema kujulikana kwao kumewaletea changamoto nyingi moja wapo ikiwa ni kudharauliwa kutokana na hali yao ya kimaisha.

Wasikilize ha