HabariNewsSiasa

Jaji Daniel Musinga aapishwa rasmi kuwa rais wa mahakama ya rufaa……

Jaji Daniel Musinga ameapishwa rasmi kuwa rais wa mahakama ya rufaa katika hafla maalum hii leo.

Jaji Daniel Musinga ameapishwa rasmi kuwa rais wa mahakama ya rufaa katika hafla maalum hii leo.

Jaji Musinga alichaguliwa kuwa rais wa mahakama ya rufaa tarehe 24 mwezi mei mwaka huu.

Jaji Musinga aidha anachukua nafasi ya Jaji William Ouko ambaye aliteuliwa kuwa jaji wa mahakama ya juu zaidi yaani Supreme Court.

By Joyce Mwendwa