BurudaniEntertainmentHabari

New Music Alert!! Umenirioga : Rystar ft M.Safaree

Baada ya kuachilia ngoma nishachoka, msanii chipukizi na mwenye umri mdogo zaidi hapa Pwani kutoka Kori Productions Rystar ameibuka na ngoma mpya inayoitwa Umeniroga aliomshirikisha Rapa kutoka kundi la Jacugaz M.Safaree.

Isikilize hapa.