BurudaniEntertainmentHabari

ALIKIBA: AFRICA MASHARIKI TUIMBE KISWAHILI | WASANII WAKONGWE WANA HAKI YA KUHESHIMIWA

Mfalme wa mziki wa Bongo flavour Ali Kiba a.k.a King Kiba  katika mahojiano ya moja kwa moja ndani ya kipindi Sheshe la Pwani alifunguka na kusema kuwa Africa Mashariki ikitaka kusonga mbele kimziki lazima tuongee lugha moja ili kuweza kuuza mziki wetu zaidi. Hata hivyo alipoulizwa kuhusu nafasi ya wasanii wakongwe kwenye mziki wa Bongo Flavour Kiba alisema licha ya kuwa wanafaa kubadilika na wakati lakini pia wanafaa kuheshimiwa.

Msikilize hapa..

 

 

By Yussuf Tsuma