BurudaniEntertainment

NEW MUSIC VIDEO ALERT!! SHABIKI DAVY GZEE FT CHIKUZEE

Wanasema pole pole tutafika tu Baada ya Msanii Davy Gze kutamba na ngoma Maya ambayo alimshirikisha nguli wa mziki Chikuzee, Sasa amerudi na ujio mpya aliyomshirikisha tena msanii Chikuzee, na wakati huu amefanya  kwa ajili ya mashabiki wamekuwa wakimpa motisha toka aanza harakati za mziki.

Itazame hapa

 

By Yussuf Tsuma