HabariSiasa

SARAI AKOSOA HATUA YA RAIS UHURU KENYATTA YA KUUNGANISHA VIONGOZI WA PINZANI.

Mgombea wa kiti cha Ugavana kaunti ya mombasa Hassan Sarai amekosoa hatua ya rais uhuru kenyatta ya kuunganisha viongozi wa pinzani akisema kuwa anafanya hayo kumpiga vita naibu wake.

Sarai anasema kuwa badala ya rais kujishughulisha na miradi ya kuboresha Maisha ya wakenya yuko mbioni kutafuta mbinu ya kupiga vita naibu wake .

Wakati huo huo kiongozi huyo amemlaumu gavana wa mombasa kutokana na kauli yake ya kudai kuwa   kuna jamii  iliyopotea njia kwa kuunga mkono mirengo tofauti akisema kuwa kauli hiyo ni ya ukabila na haipaswi kuzungumzialinapanga kutia hofu nchi ilimradi kusongesha mbele uchaguzi mkuu .

 

BY GLADYS MARURA