BurudaniEntertainmentHabari

DOGO RICHIE AWALIPUA WASANII WANAOFAKE NA KULAZIMISHA NGOMA ZAO KUWA KWA CHAT!!

Wanamuita Bin Laden a.k.a  Richie Ree Msanii anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki Pwani na Afrika mashariki. Katika mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha Jionbi Bomba ndani ya Sauti Ya Pwani Fm, Dogo Richie alifunguka na kusema kuwa wasanii wengi wako na akaunti feki za mitandao ya kijamii wanazozitumia kusukuma mziki wao kwenye chat za radio.

Msikilize Hapa.