BurudaniEntertainmentMombasa

RUCHI THE QUEEN OF WAKANDA AMKANA TIERA GEE PEUPE!!!

Msanii wa kike ambaye anakuwa kwa kasi sana kutoka hapa pwani Rukia Shaban almaarufu Ruchi afunguka na kusema kuwa Tiera Gee alimsaidia tu kuelekeza video na wala sio kusukuma mziki.

Itakumbukwa kwamba Tiera Gee katika mahojiano alifunguka na kusema kuwa mmoja wa wasanii ambaye aliwasaidia katika kusukuma mziki ni Ruchi.

Kwa upande wake Ruchi alikana madai ya Tiera Gee.

msikilize hapa

 

BY MAKANGA YUSSUF