HabariSiasa

Hatimaye chama cha Wiper kimejiondoa rasmikatika muungano wa NASA.

Tangazo la kujita kwake ietolewa na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka baada ya mkutano na wanakamati wa braza la kitaifa la Wiper uliofanyika katikamakao makuu ya chama hicho jijini Nairobi.

Chama cha Wiper sasa chama chawa chama cha pili kujitoa katika muungano huo baada ya chama cha ANC kinachoongozwa na Musalia Mudavadi.

hatahivyo chama cha Ford Kenya kinaonekana kuwa katika njia panda kufuatia mgogoro ulioko katika chama hicho kinachoongozwa na Moses Wetangula

msukosuko wa ford Kenya unazidi kutokota kufuatia Mbunge Esili simiyu na wafula wamunyinyikufanya uamuzi kufuatia mvutano wa umiliki wa chama.

Kwasa Muungano wa Nasa umebakia na chama cha ODM pamoja na Ford Kenya.