HabariNews

MWILI WA CAROLINE KANGOGO WAFANYIWA UPASUAJI…

Hatimaye mwili wa Caroline Kagongo afisaa aliyedaiwa kujiuwa baada ya kuwauwa maafisa wenzake wawili umfanyiwa upasuaji katika hospitali ya Moi rufaa mjini Eldoret.

Mwanpatholiojia wa serikali Johansen Oduor anasema afisaa huyo alifariki kufuatia jeraha la risasi iliyopenyeza kupitia upande wa kulia wa kidevu na kupita upande wa kushooto wa kichwa.

Oduor anaseema risasi hiyo ilisababisha kuathirika kwa uti wa mgogo na ubongo wake.

Hatahivyo Oduor amesema amechukua sampuli kutoka kwa miko ili kupaini iwapo alijiua kama ilivyodaiwa hapo awali.

BY REPORTER