HabariNewsSiasa

SERIKALI YA KAUNTI YA KWALE KUWAFADHILI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM…

Watoto wenye mahitaji maalum katika kaunti ya Kwale wanatarajiwa kupata ufadhili wa karo kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo

Gavana Salim Mvurya amesema kuwa serikali yake itahakakisha watoto hao wamepata ufadhili wa karo kikamilifu.

Mvurya amezungumza wakati wa uzinduzi wa madarasa mapya ya shule ya msingi ya wanafunzi wasiokuwa na uwezo wa kusikia ya Kidimu iliyoko katika eneo ya Lungalunga  ametaja kwamba tayari wanafunzi 28 wa shule hiyo wanafadhiliwa na serikali ya kaunti hiyo

BY REPORTER