BurudaniEntertainmentHabari

New Music Video Alert!! City Boy ft Kayumba -Bend & Pause………….

Baada ya kutamba na ngoma naila nyama Msanii City Boy almaaruf Bawazir ameamua kuvuka Boda na Kuleta fleva Za kibongo kwa kumshirikisha msanii Kayumba Kutoka Tanzania kwenye kazi yake mpya inayokwenda kwa jina Bend Pause.

Itazame hapa.