BurudaniEntertainmentHabari

NEW MUSIC VIDEO ALERT !!! AKEELAH-LOCO

Fatma Mohammed ndo jina lake halisi alilopewa na wazazi wake lakini mashabiki wanamtambua kama Akeelah, Msanii wa kike chini ya Record Label ya  Hakeem Empire.

Ni miongoni wa wasanii wanao kua kwa kasi ya Kushangaza na amekua akipigiwa upato wa kuwa mmoja ya wasanii tajika na wakubwa zaidi afrika mashariki. Baada ya kutamba na ngoma ‘mama’ sasa hivi amerudi tena ngoma Locoh chini ya mikono ya Producer Ink Is AmAZING.

itazame hapa..