HabariNews

Tume ya kukabili ufisadi EACC imeshauriwa kuhakikisha shule zote upili zinaanzisha vilabu vya uadilifu…

Tume ya kukabili ufisadi EACC imeshauriwa kuhakikisha shule zote upili zinaanzisha vilabu vya uadilifu yaani INTEGRITY CLUBS ikiwa ni njia moja ya kukabili utovu wa nidhamu shuleni

Kwa mujibu wa shirika la kijhamii la Kesho Kenya linaloendeleza mpango wa kuhakikisha linaloendeleza mpango wa kuhakikisha wanafunzi wanakuwa waadilifu na waajibikaji, EACC ndio yenye jukumu kubwa la kuhakikisha hilo linafanyika

Koaster Kolanda amabeye ni msimamizi wa mpango huo ameihisii EACC kushirikiana na wizara ya elimu ili kufanikisha swala hilo.

Baadhi ya wanafunzi wa shule za upili katika kaunti ya Kilifi ambao ni wanachama wa vilabu hivyo wameelezea jinsi ambavyo vimewasaidia pakubwa kudumisha nidhamu shuleni.

BY NEWS DESK