HabariNewsSiasa

Kalonzo Musyoka kufika mbele ya makao makuu ya idara ya upelelezi DCI…

Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka wakati wowote kuanzia sasa anatarajiwa kufika mbele ya makao makuu ya idara ya upelelezi DCI kwenye barabara ya Kiambu.

Kalonzo ametakiwa na maafisa wa DCI kujisafisha dhidi ya madai umiliki wa kipande cha ardhi cha Yatta.

Kalonzo anatakiwa kurekodi taarifa kufuatia madai kwamba ardh hiyo ilinyakuliwa kutoka kwa taAsisi ya kitaifa ya huduma za vijana NYS

Hii, itakuwa ni mara ya pili mwaka huu kwa naibu huyo rais wa zamani kujitokeza mbele ya tume hio.

BY NEWS DESK.