HabariNewsSiasa

Gedeon Mung’aro ashauriwa kujihadhari wakati huu anapofanya kampeni zake.

Wandani wa katibu wa utawala katika wizara ya ugatuzi Gedeon Mungaro ,wamemshauri kujiadhari wakati huu anapofanya kampeni zake.

Hii ni baada ya kiongozi huyo kuzirahi alipokuwa jukwaani kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ugava wa chakula kaunti ya Kilifi.

Mungaro ambae kwa sasa ameruhusiwa kuregea nyumbani baada ya kulazwa hosipitali kwa siku 3, alianza kuugua alipokuwa katika ziara hiyo huku kukiwa na madai kuwa alikula chakula chenye sumu.

Ikumbukkwe Mungaro tayari ametangaza kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Kilifi kupitia chama cha ODM.

BY NEWS DESK