HabariNewsSiasa

VIONGOZI WA KIDINI WAWASHTUMU WABUNGE KWA KUZUA VURUGU BUNGENI.

Viongozi wa kidini kaunti ya Uasin Ngishu wamewashtumu wabunge kwa vurugu zilizoshuhudiwa bungeni hapo jana.
Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza la maimu na dini la kiislamu kaskazini mwa bonde la ufa shelk Abubakari Bini anasema wabunge walijishusha hadhi kwa kupigana makonde hadharani hivyo kutokuwa kielelezo katika jamii
Bini anasema panahaja ya wabunge kuchukuliwa hatua hasa wakati taifa linapojiaandaa kwa uchaguzi mkuu mwaka ujao

BY NEWSDESK