HabariNewsSiasa

Wanasiasa wanaogemea mrengo wa Azimio wameelekeza kampeni zao katika kaunti ya Vihiga huku wale wa UDA Wakielekea kaunti ya Kisii.

Wanasiasa wanaogemea mrengo wa Azimio wameelekeza kampeni zao katika kaunti ya Vihiga huku wale wa UDA Wakielekea kaunti ya Kisii.
Akihutubia wafuassi wake, naibu wa rais William Ruto amendeleza kampeni za kuwawashawishi wafuasi wake kutokubali kuchaguliwa viongozi katika uchaguzi mkuu.
Kwa upande wa mrengo wa azimio ukiongozwa na gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho, wakiwasuta wenzao wa UDA wakisema hawana uwezo wa kuliendesha taifa kwa kukosa ajenda za kushawishi wakenya.