HabariLifestyleWorld

KAMPUNI YA PEPSI YAFUNGUA TAWI JIPYA ENEO LA PWANI.

Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Kimataifa ya Kinywaji cha Pespsi kimefungua tawi lake jipya eneo la Pwani.

Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa tawi hilo eneo la Spaki kaunti ya Mombasa,mkuu wa Tawi hilo  Salim Ogada amesema kuwa ufunguzi huo umebuni Zaidi ya nafasi 40 za ajira,huku akidokeza kuwa huenda nafasi hizo zikaongeza.

By Yussuf Tsuma