AfyaHabariMakalaNews

Waajiri katika sekta ya afya sasa watahitajika kufanya mazungumzo upya kuhusu mkataba wa makubaliano ya mishahara.

Waajiri katika sekta ya afya sasa watahitajika kufanya mazungumzo upya kuhusu mkataba wa makubaliano ya mishahara na marupurupu ama CBA kwa wahudumu wa afya ili kuzuia migomo ya kila mara.
Hayo ni kulingana na waziri wa leba Simon Chilugoi anayesema hatua hiyo ni moja kati ya yaliyoafikiwa katika kongamano la kila mwaka la wahudumu wa afya nchini.
Aidha chama cha madaktari nchini KMPDU, chama cha maafisa wa kliniki nchini KUKO pamoja na washikadau wengine katika sekta ya afya wamesifia mwafaka huo wakisema wako tayari kwa mazungumzo.

>>news desk