HabariMazingiraNews

Uhaba wa chakula wanukia kutokana na ukosefu wa mvua.

Uhaba wa chakula unanukia kutokana na ukosefu wa mvua baada ya msimu wa mvua kuchelewa na kutatiza shughuli za upanzi wa mahindi .
Hali hii inajiri huku taifa likikaribia kushuhudia ukosefu chakula baada ya Maghala ya mahindi Trans Nzoia kusalia pweke.
Hali ya hewa, bei za pembejeo zimesalia kuwa ghali mno Gunia moja la mbolea linakiuzwa kwa shilingi elfu sita