Habari

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza waajiri mbali mbali kuwapa kipau mbele vijana waliopitia mafunzo ya NYS wanapoajiri wafanyakazi.

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza waajiri mbali mbali kuwapa kipau mbele vijana waliopitia mafunzo ya NYS wanapoajiri wafanyakazi.
Akizungumza wakati wa kufuzu kwa makurutu Takriban 9,465 wa NYS katika chou cha Gilgil Kaunti ya Nakuru, Rais Kenyatta amepongeza idara za jeshi, polisi na NYS yenyewe kwa kuajiri baadhi vijana akisema hali hiyo inawapa fursa kuendeleza taaluma zao baada ya kupokea mafunzo katika NYS.

>> News Desk…