BurudaniEntertainmentHabariNews

NEW SONG ALERT!!!

Msanii kutoka pwani almaarufu kama Panzili Music anbaye yuko chini ya record label ya Monster Records ameachia kibao kwa jina “Jimama” akiwa amemshirikisha “jeuri” hit maker, Echo 254.

Jina ya wimbo huu limezua gumzo mtandaoni baada ya echo 254 kuonekana kumshauri panzili music kukoma kuingia kwenye mahusiano na wamama katika wimbo huo.

Haya yanajiri tu baada ya tetesi za hivi majuzi kuwa Panzili Music alikuwa anahusiana kimapenzi na wamama wa Mtwapa.

Bonyeza link upate kibao chenyewe.

BY EDWIN KIPROTICH