HabariNews

Viongozi wa Azimio kaunti ya Kilifi waliokamatwa katika maandamano

Viongozi hao akiwemo Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga, Spika wa bunge la Kilifi Tedy Mwambire, msaidizi wa Chonga Victor Katana pamoja na Patrick Chiro mfanyakazi katika ofisi ya seneta Stewart Madzayo, wamefikishwa katika mahakama kuu ya Mombasa kwa mashtaka ya kushiriki maandamano yasiyo halali

BY EDITORIAL DESK