BurudaniEntertainment

Mjue Darkman Davido Msanii aliebahatika Kufanya Kazi na Msanii Anjella

Darkman Davido ni mzaliwa wa Nairobi Kenya ni msanii wa muziki wa kizazi kipya na pia hufanya pia Nyimbo za injili. Darkman Anajulikana kwa wimbo wake wa kwanza ambao unakwenda kwa jina Boy,FINE ulio na sehemu 1, 2 na 3. Nyimbo zake za injili zinazojulikana kila wakati. Ni kama "Nasimama" na " Sawa "
Katika harakati zake za kimziki Darkman Davido maefanikiwa kufanya Kazi na Aliekuwa msanii wa KindeGang Anjella kwenye wimbo Kolo.


Alianza muziki mwaka wa 2019 Baada ya janga la covid 19, amekuwa akitoa muziki tangu enzi hizo mpaka saa hii. Mbali na kuimba Darkmnan pia ni mpenzi wa motocross na pia uendeshaji baiskeli. 
Baadhi ya kazi za Darkman Davido hizi hapa.

https://youtube.com/@darkmandavido9665