Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 100
November 21, 20220

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuanzisha mpango wa kuwalipa wazee wa Nyumba Kumi.

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuanzisha mpango wa kuwalipa wazee wa Nyumba Kumi kama njia moja ya kuimarisha hali ya usalama mashinani. Mwenyekiti

Read More
November 21, 20220

Jamii ya wakaazi wa kwale yashauriwa kutafuta suluhu ya matatizo yao badala ya kujitoa uhai.

Kitengo cha usalama eneo bunge la Shimba Hills kaunti ya Kwale kinawashauri kina mama na hata jamii kwa ujumla kutafuta suluhu ya matatizo yao badala

Read More
November 21, 20220

Onyo latolewa na idara ya usalama dhidi ya wahalifu wanaotatiza usalama wa wahudumu wa bodaboda eneo bunge la Shimba Hills.

Onyo latolewa na idara ya usalama dhidi ya wahalifu wanaotatiza usalama wa wahudumu wa bodaboda eneo bunge la Shimba Hills hususan wadi ya mkongani ka

Read More
November 15, 20220

Wavuvi watano kutoka eneo la shimoni huko lungalunga kaunti ya kwale wanazuiliwa nchini Somalia.

Wavuvi watano kutoka eneo la shimoni huko lungalunga kaunti ya kwale wanazuiliwa nchini Somalia katika mji WA mudoa Kwa majuma mawili sasa. Wavuvi

Read More
November 15, 20220

BTL humu nchini tawi la Kwale kuzindua rasmi mpango wa vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya mama.

Huenda hofu waliokuwa nayo watoto wenye umri wa miaka 6-9 dhidi ya lugha ya kiingereza shuleni ikawaondokea. Hii ni baada ya Shirika la BTL humu nc

Read More
November 15, 20220

Viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Kwale wamezindua mpango wa kukabiliana na tatizo la utumizi wa mihadarati miongoni mwa vijana.

Viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Kwale wamezindua mpango wa kukabiliana na tatizo la utumizi wa mihadarati miongoni mwa vijana. Mpango huo unata

Read More
November 15, 20220

Serikali imetenga chakula cha msaada kwa watahiniwa wa mtihani wa kitaifa katika kaunti ya kwale.

Kamishena wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi amesema kuwa tayari serikali imetenga chakula cha msaada kwa wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kita

Read More
November 14, 20220

Visa vya ulanguzi wa binadamu vyasemekana kuongezeka eneo la pwani.

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu yameelezea wasi wasi wao kufuatia ongezeko la visa vya ulanguzi wa binadamu katika eneo la Pwani. Kulingana

Read More
November 14, 20220

SERIKALI YA KITAIFA IMEOMBWA KUUKABIDHI RASMI MRADI WA GALANA KULALU KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI.

Serikali ya Kitaifa imeombwa kuukabidhi rasmi mradi wa Galana Kulalu kwa serikali ya kaunti ya Kilifi ili kuhakikisha kuwa mradi huwo unawafaidi wakaa

Read More
November 14, 20220

MAKATIBU WA WIZARA MBALIMBALI WAENDELEA KUHOJIWA NA KAMATI NNE ZA BUNGE BUNGENI.

Mahojiano ya makatibu walioteuliwa kuhudumu katika wizara mbalimbali yanaendelea kwa sasa ambapo yanaendeshwa na kamati nne za bunge. Katibu mteule

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 99 100 101 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite