BurudaniEntertainmentMombasa

New Music Alert!! NASHA TRAVIS ASHIRIKISHWA KATIKA MEJJA COLLABO.

Msanii chipukizi wa kike anaye kua kwa kasi sana kutoka Kilifi Nasha Travis Ametambulisha ujio wake mpya kwa mara nyingine tena.  Hii ni baada ya kuachia kibao kwa jina ‘Naitwa Mejja’ ama ukipenda ‘Vaibu’ ambacho alishirirkishwa na the king of collabos yaani Mejja.

Hiki hapa kibao chenyewe.

By Leon Nkaduda