BurudaniEntertainmentMombasa

MJUE MSANII WAKO [MICHAEL CHENGO KAZUNGU] DOUBLE C

Michael Chengo Kazungu, Almaarufu Double C ,nimzaliwa  wa Mombasa Majaoni,Amesomea Nyemteka academy,masomo ya shule ya msingi Lakini hakuafulu kuenda shule ya upili hali iliyomlazimu,kujiunga na chuo cha kusomea udereva 2008, alijitosa katika sanaa ya uimbaj, ila akalazimika kuacha mziki miaka mitano baadae,baada ya kuona mziki hauleti chochote. Kufikia 2020 mwezi wa nane,ndio Akabahatika kupata mkataba tena unaohusu uimbaji mziki,katika studio ya SAGA RECODS AU SAG BEAT RECODS,kufikia sasa Amefanya nyimbo tatu,Wimbo wakwanza NIMEDATA,wapili,SIJAZOEA,na wimbo watatu,KANANIPAGAWISHA, amefanyia ngoma moja video  NIMEDATA chini ya Director Fareed wa KORI FILM.

Itizame kazi yake.